FAIDA 48 ZA JUISI YA TANGAWIZI AMBAZO ULIKUWA HUZIJUWI
1. Huondoa sumu mwilini haraka sana
2. Huua bakteria wa aina nyingi mwilini hata salmonella ndani ya mwili hata juu ya ngozi
3. Kuna viua vijasumu (antibiotics) vya asili viwili kwenye tangawizi
4. Huondoa uvimbe mwilini
- Huondoa msongamano mapafuni
- Tangawizi inayo ‘zingibain’ ambayo huua vimelea mbalimbali vya magonjwa na mayai yake
- Huondoa maumivu ya koo
- Huua virusi wa homa
- Huondoa maumivu mbalimbali mwilini
- Huondoa homa hata homa ya baridi (chills)
- Hutibu saratani ya tezi dume. Tangawizi huua kimeng’enya ambacho ni chakula cha seli za kansa ya tezi dume kiitwacho ‘5-LO enzymes’ na seli hizo za kansa hufa ndani ya masaa mawili au manne bila hicho kimeng’enya.
- Tangawizi ina kiinilishe mhimu sana
ambacho huzuia kuongezeka kwa seli za kansa ya kongosho kiitwacho kwa kitaalamu kama ‘gingerol” - Hutibu kansa zinazoweza kusababishwa na kupata choo kigumu muda mrefu (constipation-r
elated cancer) - Ni dawa nzuri kwa kansa ya kwenye damu (leukemia)
- Ni dawa nzuri dhidi ya kansa ya mapafu (lung cancer)
- Huzuia kujizalisha kwa bakteria aitwaye ‘Helicobacter pylori’, bakteria huyu ndiye husababisha vidonda vya tumbo mwilini, pia hutibu kiungulia, na kanza mbalimbali za tumbo
- Ni msaada sana katika kuzuia na kutibu kansa ya titi
- Hutibu kanza za kwenye kizazi na kanza za kwenye mirija ya uzazi
- Huongeza msukumo wa damu
- Husaidia kuzuia shambulio la moyo
- Huzuia damu kuganda
- Hushusha kolesto
- Husafisha damu
- Husaidia watu wenye kukakamaa kwa mishipa
- Husaidia kuzuia kutapika. Husaidia hata wale wanaosafiri baharini wasipatwe na kichefuchefu
- Husaidia kuondoa maumivu kutokana na mkao mmoja wa mrefu ama kusimama au kukaa
- Husaidia uzalishwaji wa juisi vimeng’enya kwa ajili ya kumeng’enya chakula
- Husaidia kuzuia kuharisha
- Husaidia mfumo wa upumuaji na kutuliza dalili za pumu
- Hutibu tatizo la miguu kuwaka moto
- Hutibu homa ya kichwa
- Hutibu maumivu ya tumbo wakati wa hedhi
- Hutibu homa za asubuhi hata kwa mama mjamzito
- Husaidia kupunguza homa ya baridi yabisi (helps reduce inflammation of arthritis)
- Huimarisha afya ya figo
- Husaidia kupunguza uchovu unaotokana na matibabu yaliyopita ya mionzi
- Ina madini ya potassium ya kutosha
- Ina madini ya manganese ambayo nimhimu katika kuuongeza mfumo wa kinga ya mwili dhidi ya magonjwa mbalimbali, hulinda kuta za moyo, hulinda mishipa ya damu na mishipa ambako mikojo hupita
- Ina kitu kinaitwa ‘silicon’ ambacho chenyewe kazi yake hasa ni kuongeza afya ya ngozi, nywele, meno na kucha
- Husaidia umeng’enywaji wa madini ya calcium
- Pia ina vitamini A, C, E, B-complex, chuma, zinki , magnesium, phosphorus, sodium, calcium, na beta-carotene
- Hulinda kuta za moyo, hulinda mishipa ya damu na mishipa ambako mikojo hupita
BLEND KAMA UNAVYO TENGENEZA JUICE YA KAWAIDA KISHA KUNYWA GLASS MOJA KWA SIKU.
AU UNAWEZA KUJENGA MAZOEA YA KUTAFUNA VIPANDE KADHAA KILA SIKU ASUBUHI KABLA HUJALA KITU
The post FAIDA 48 ZA JUISI YA TANGAWIZI AMBAZO ULIKUWA HUZIJUWI appeared first on Kilimo Tanzania.
Post a Comment